Tuesday, March 16, 2010

Tawi la Yanga Dodoma

Tafadhari naomba nifahamishwe eneo lililopo tawi la Yanga hapa Dodoma kwani nahitaji kulipia kadi yangu ya uanachama kabla ya uchaguzi.Yeyote mwenye taarifa ya ofisi hiyo anipe maelekezo.